Site Loader

Masikio / Pua

Ukweapo kuelekea uwanda wa juu, matatizo ya masikio na pua huongezeka.kubabuliwa na jua na ngozi kuharibiwa kwenye pua na ngozi husababisha maumivu makali.

Mabadiliko yanayotokea kwenye kina cha sikio huleta viashiria vya kizunguzungu na kichwa cha kizunguzungu kwenye maeneo hayo.

Tatizo mojawapo kuu kwenye maeneo hayo ni kuziba kwa pua.Ingawa hili huonekana ni tatizo dogo endapo mambo yanayohatarisha maisha yapo jirani.Kuziba kwa pua ni husitisha mchakato wa kawiada wa jotoridi  na unyevunyevu puani.Mambo haya ni muhimu kuendeleza afya ya mapafu.

Kushindwa kutia joto na unyevunyevu kwenye hewa ya puani unapovuta hewa husababisha koromeo kuwasha/kuuma kwa koo .Kikohozi kisichokoma au katika hali mbaya Zaidi huharibu maeneo kwenye mapafu ambayo ni muhimu kupitishia oksijeni kwenye mapafu.

Kwenye uwanda wa juu:
• Kizunguzungu huweza kuwa kiashiria cha magonjwa ya mlimani.
• Tumia kofia pana. Masikioni na puani utumie krimu za kuzuia miale ya jua.
• Buni vizuizi jua dhidi ya pua au miwani ya jua.
• Penga kamasi mara kwa mara.
• Tumia krimu ya kizuizi (kama Vaseline) kulainisha ngozi iliyobabuka au kavu.

Maandalizi:
• Hakikisha glovu zina kisharabu laini kwenye dole gumba kizuri kwa ajili ya kusafisha pua.
• Fungasha karatasi laini maarufu kama tishu na vitambaa, krimu za kuzuia miale ya jua.

Mpanda nyanda za juu mwenye mafua alikuwa na mafua na akatumia siku mbili kupanda Ramtang kwenye barafu na kanda za theluji.Miale-akisi zilichoma matundu ya pua vibaya kwani krimu za kuzuia miale ya jua puani ziliondolewa na kamasi.Ilichukua wiki moja baadaye kupona kabisa.

Previous         Next