Site Loader

Dibaji

Kitabu hiki kimeandikwa na watu wanaopenda kukwea milima,wenye mapenzi mahsusi na matibabu na kinachoweza kuwasibu watu katika nyanda za juu.Maudhui yake hayana budi kutazamwa kimuongozo tu uliokitwa katika maarifa ya kimuktdha uliopo.
Tafiti kuhusu magonjwa ya nyanda za juu si rahisi kufanyika,zina ubuibui na bado hazitabiriki ni lini zitakidhi haja toshelevu.Yeyote anayesafiri kuelekea eneo la uwanda wa juu hushauriwa kuomba msaada wa kimatibabu kabla ya kwenda huko na mara nyingine iwezekanapo wanapokumbuna na changamoto wanapokuwa huko.

Toleo la kwanza: 2007 Toleo hili: 2008
Mwandishi na mchapishaji wamefanya kila liwezekanalo kwao ili taarifa ziwe sahihi na zikidhi haja ya muktadha iwezekanavyo.Hata hivyo hawatawajibika kwa upotevu wowote, madhara au uharibifu uliosababishwa na mtu yeyote ikiwa ni upungufu wa kibinadamu au kuondolewa kwa lolote au kama matokeo ya ushauri na taarifa ya kitabu hiki.

Haki zote zimehifadhiwa. Tunahimiza matumizi yasiyo ya kibiashara ya kijitabu hiki bora tu hati miliki ya mwandishi iwe imebainishwa © Medex 2007, 2008

Kitabu hiki kinaweza kupakuliwa bure kutoka kwenye tovuti: www.medex.org.uk

Previous         Next