Site Loader

Figo / Kibofu cha mkojo

Ukiendelea kuzoea mazingira,mwili wako utatengeza mkojo Zaidi.Ni dalili njema ila humaanisha kwamba utakojoa Zaidi usiku na mchana.

Mazoezi kwenye hewa kavu na joto la uwanda wa juu huweza kusababisha upungufu wa maji mwilini inayoweza kuhatarishwa Zaidi na mharo wa msafiri.Kiu,kuumwa kichwa,na uchovu mara  nyingi ni dalili za kuharisha.Hizi huweza kuzuiwa kwa kunywa lita kadhaa za majimaji safi na salama kutwa nzima.Mkojo japo mara nne kwa siku wa kiasi kikubwa cha mkojo safi  huonesha majimaji huenda vizuri hadi mwisho kileleni.

Uchungu wa mara kwa mara na kukojoa kidogo huweza kuwa dalili za maji kupungua mwilini.Kma hautaisha baada ya kunywa lita mbili ya majimaji, inawezekana umethiriwa na bakteria na unahitaji  tiba ya antibayotiki.

Watu wazima hutanuka tezi dume ambayo huweza kuongeza kasi ya kukojoa kwenye uwanda wa pwani. Hii huweza kusababisha akiba ya mkojo usababishao uchungu.Kma unajishuku, muone daktari kwa ushauri Zaidi kabla ya kuanza safari.

Kwenye uwanda wa juu:
• Kunywa maji.
• Kunywa maji!
• Kunywa maji!

Maandalizi:
• Nunua kopo la kujisaidia haja ndogo wakati wa usiku.
• Kina mama ni vizuri kufikiria namna ya kujisaidia haja ndogo usiku.
• Wanawake wanaweza kuvaa sketi kurahisisha kukojoa.

Mpandaji nyanda za juu aliye mzima wa afya njema alijihisi uchovu na kuumwa kichwa mwishoni mwa siku mwinuko ulivyokuwa ukiongezeka.Alitingwa na hofu ya kushambuliwa na magonjwa hatari ya mlimani.Harakaharaka akajihami kwa kunywa lita mbili za maji yaliyochujwa na kutiwa chachu ya limau na kurejea kwenye afya yake ya awali haraka.

Previous         Next